Rwanda yapinga kauli ya rais wa Burundi kwamba inapanga kushambulia nchi yake

Waziri wa mambo ya nje wa Rwanda amesema kwamba kauli ya Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye, kwamba Rwanda inapanga kushambulia nchi yake ni “ya kusikitisha.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *