Rwanda yaanza kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 dhidi ya Watutsi

Rwanda leo, tarehe 7 Aprili, imeanza shughuli za kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 dhidi ya Watutsi yaliyofanywa na wanamgambo wa kihutu wenye misimamo mikali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *