Rwanda inaikalia DRC kinyume cha sheria, waziri aiambia BBC

Rwanda inaikalia kwa mabavu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kujaribu kupanga mabadiliko ya utawala, waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo ameiambia BBC.