Russia: Ukraine imekiuka usitishaji vita wa Pasaka kwa kutumia makombora ya Marekani

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa kombora la HIMARS lililotengenezwa Marekani limetumika katika mashambulizi ya hivi karibuni ya Ukraine na kwamba huo ni ukiukaji wa usitishaji mapigano katika kipindi cha Pasaka.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *