Russia na Oman zasisitiza kuondolewa kwa wanajeshi wa Israel Ukanda wa Gaza

Rais wa Russia na Sultan wa Oman wametoa taarifa ya pamoja na kusisitiza ulazima wa kuondolewa kikamilifu vikosi vya kijeshi vya Israel katika Ukanda wa Gaza na ardhi zote za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *