Russia: hatukimbizani na yeyote ili kupata ahueni ya vikwazo

Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov amesema katika hali ambayo biashara kati ya nchi hiyo na Marekani imeshuhudia mdororo mkubwa kutokana na “vikwazo haramu vya Washington,” lakini Moscow “haikimbizani na mtu yeyote” kwa ajili ya kuondolewa vizuizi hivyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *