Russia: BRICS kuanzisha mfumo wa malipo wa ‘dijitali’ kwa wanachama

Waziri wa Fedha wa Russia amesema kuwa nchi wanachama wa kundi la BRICS zinachunguza hatua kadhaa za ubunifu wa kifedha ikiwemo kuanzisha mfumo wa malipo wa kidijitali ili kutoa huduma za kifedha ndani ya kambi hiyo ya kiuchumi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *