Ripoti: Ukatili unaoendelezwa na Israel Gaza umepita aina zote za ugaidi wa kisasa

Shirika la Haki za Binadamu la Euro-Med, lenye makao yake mjini Geneva, limelaani vikali ukatili wa Israel katika Ukanda wa Gaza, likisema kuwa ukatili huo “umepita hata aina zote za ugaidi wa kisasa.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *