Ripoti: Putin analenga ‘adui mpya wa Magharibi’: Waabudu Shetani

Rais wa Russia, Vladimir Putin na washirika wake wamevitaja vita vya Ukraine kuwa vita dhidi ya waabudu mashetani, na vilevile dhidi ya sera zinazounga mkono vitendo vya maingiliano ya kingono baina ya watu wenye jinsia moja (LGBTQ) za Magharibi, ambazo wanaona kuwa zinadhoofisha maadili ya jadi ya Kikristo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *