Ripota wa UN: Muda wa kuwanusuru Wapalestina unazidi kuyoyoma

Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya Palestina ameonya kwamba “hakuna muda mwingi uliobaki” kuwaokoa watu wa Palestina wakati huu ambapo Israel inaendeleza mashambulizi yake mtawalia katika Ukanda wa Gaza, na ukandamizaji unaoendelea katika Ukingo wa Magharibi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *