Ripota Maalumu wa UN: Vitendo vya Israel katika Ukingo wa Magharibi ni aibu na kinyume cha sheria

Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa amevitaja vitendo vya utawala wa Kizayuni katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kuwa ni vya fedheha na kinyume cha sheria.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *