Reuters: Wawawakilishi wa serikali ya Kongo DR na waasi wa M23 wawasili Doha kwa mazungumzo

Shirika la habari la Reuters limeripoti kuwa maafisa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na wawakilishi wa harakati ya waasi ya M23 wamewasili Doha kwa mazungumzo yenye lengo la kufikia makubaliano ya kusitisha vita na kumaliza mapigano ya miezi kadhaa mashariki kwa Kongo DR.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *