RDC: Njia inayofaa kulipiza kisasi cha mauaji ya Cirimwami ni kuwamaliza maadui- FRDC

Msemaji wa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, anamewatolea wito wanajeshi na wapiganaji wote wanaosaidiana katika vita na wapiganaji wa M23 kummaliza “adui popote alipo” kama mojawapo ya kulipiza kisasi kwa mauaji ya Meja Jenerali Peter Cirimwami Nkuba aliuawa hivi karibuni.