Rashford ana matumaini ya kuhamia Barca – Tetesi za Soka Ulaya Jumapili

Marcus Rashford ana matumaini ya kujiunga na Barcelona msimu huu wa joto, Atletico Madrid wanamfuatilia kwa karibu Jean-Philippe Mateta wa Crystal Palace, huku Manchester City wanamwona Charles de Ketelaere kama mbadala wa Kevin de Bruyne.