Ramaphosa apinga bwabwaja mpya za rais wa Marekani, asema hakuna ardhi iliyotwaliwa na Afrika Kusinii

Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini leo Jumatatu amepinga bwabwaja na madai ya rais wa Marekani Donald Trump na kusema kuwa Pretoria haijawahi kunyang’anya ardhi yoyote ile.