Ramaphosa: Afrika Kusini haitajitoa katika kikosi cha kulinda amani Kongo

Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ameahidi kuendelea kuisaidia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo licha ya wananchi wa Afrika Kusini kutoa wito wa kuondoka Kongo wanajeshi wa nchi hiyo kufuatia vifo vya walinda amani 14 wa Afrika Kusini.