Ramadhani: Unajua kinachotokea mwilini wakati unapokuwa umefunga?

Kila mwaka mamilioni ya waislamu duniani hufunga tangu jua linapochomoza mpaka linapotuwa kwa siku 30 mfulilizo katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.