Ramadhani, Mwezi wa Dhifa ya Mwenyezi Mungu-2

Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur´ani, kuwa  mwongozo kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi. Basi atayekuwa katika mji (wake) katika mwezi huu aufunge. Na mwenye kuwa mgonjwa au safarini, basi atimize hisabu katika siku nyengine. Mwenyezi Mungu anakutakieni yaliyo mepesi wala hakutakieni yaliyo mazito, na mtimize hiyo hisabu, na mumtukuze Mwenyezi Mungu kwa kuwa amewangoza ili mpate kushukuru. (Baqarah:185)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *