Ramadhani: Baadhi ya tamaduni zimebadilika Zanzibar

Visiwani Zanzibar, wakaazi wengi ni waumini wa dini ya Kiislam, sasa wakati mafundisho na miongozo mingine ya kidini juu ya mwezi huu mtukufu imedumu kwa karne na karne, viongozi wa dini na hata waumini pia visiwani humo wanasema baadhi ya tamaduni zinabadilika.