Rais wa Sudan Kusini ahimiza utulivu baada ya maandamano na kuporwa biashara za watu

Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amewahimiza wananchi kurejesha utulivu na kutoa wito wa kuhitimishwa ukatili unaofanywa na vikosi vya ulinzi vya Sudan dhidi ya raia wa Sudan Kusini.