Rais wa Mexico amjibu Trump: Tuko tayari kwa ushirikiano, lakini hatukubali kamwe ‘kutiishwa’ na US

Rais wa Mexico Claudia Sheinbaum amekataa pendekezo la Rais wa Marekani Donald Trump la kupeleka wanajeshi ndani ya ardhi ya nchi hiyo kupambana na magenge ya madawa ya kulevya na akasisitiza kwamba, wakati Mexico imeweka mlango wazi kwa ushirikiano, haitakubali kamwe “kutiishwa” kwa Washington.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *