Rais wa Kenya awakasirisha tena vijana wa Gen Z, asema hatatishwa na watu wa mitandao

Rais William Ruto wa Kenya jana Jumapili aliwakaksirisha vijana wa Gen Z wanaomtuhumu kwamba amekiuka agizo lake mwenyewe la kupiga marufuku maafisa wa serikali kutoa michango ya fedha makanisani baada ya kutoa Shilingi milioni 20 kufadhili miradi ya ujenzi wa kanisa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *