Rais wa Iraq: Iran ni jirani mkubwa na muhimu kwa Iraq

Rais wa Iraq amesema kuwa, Iran jirani mkubwa na muhimu kwa Iraq na kubainisha kwamba, uhusiano kati ya Baghdad na Tehran ni wa kawaida na a kirafiki.