Rais wa Iraq: Al-Hashd al-Shaabi ni sehemu ya vikosi vya usalama nchini

Rais wa Iraq amesema kuwa makundi yenye silaha yenye mfungamano na kundi la Hash al Shaabi yanasimamiwa na serikali kuu na ni sehemu ya askari usalama wa Iraq.