Rais wa Iran awasili Russia kutia saini mkataba wa ushirikiano wa kistratijia wa miaka 20

Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amewasili nchini Russia katika hatua ya pili ya ziara yake baada ya ziara yake ya siku mbili nchini Tajikistan.