Rais wa Iran asisitiza umoja kati ya nchi za Kiislamu

Rais wa Iran amesema kuwa nchi za Kiislamu zinapasa kujiepusha na masuala yanayozusha hitilafuna badala yake zinapasa kushikama na kuwa kitu kimoja; na kwa njia hiyo ni wazi kuwa njama za maadui na wale wanaozitakia mabaya nchi hizo hazitafanikiwa. Njama za maadui na wanaowatakia wenzao mabaya hakika hazitafanikiwa.