Rais wa Iran apinga vikali mpango wa Trump wa kuwaondoa Wapalestina Ukanda wa Gaza

Rais Masoud Pezeshkian wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepinga mpango wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kuwahamisha wakazi wa Gaza na kupelekwa katika nchi nyingine.