Rais wa Iran amfuta kazi Makamu wake kwa ‘safari ya ubadhirifu’

Rais Masoud Pezeshkian amempiga kalamu nyekundu Makamu wake katika Masuala ya Bunge kufuatia safari ya kibinafsi ya mwanasiasa huyo wakati wa sherehe za mwaka mpya wa Kiirani (Nowruz), iliyojaa ubadhirifu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *