Rais wa Burundi adai kwamba Rwanda inapanga kuishambulia Burundi

Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye, ameonya kwamba mzozo wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unaweza kusambaa na kuwa vita vya kikanda.