Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa viongozi kutoenda kuyakamua mashirika ya umma ili tu yaonekane yamechangia gawio vizuri…badala yake, wahamasishwe kufanya kazi kwa juhudi na weledi ili watoe gawio kubwa kwa mujibu wa sheria na miongozo iliyopo.
#AzamTVUpdates
✍Alpha Jenipha
Mhariri John Mbalamwezi