Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Jaji wa Tanzania, George Masaju kuhakikisha mahakama inaendelea kusimamia haki kwa kuzingatia misingi ya sheria, ndani na nje ya nchi.
Akizungumza leo jijini Dodoma katika hafla ya kumuapisha Jaji Mkuu huyo, Rais Samia amesema wananchi wanatarajia kuona mahakama ikitekeleza wajibu wake kwa uadilifu na kwa kuzingatia kanuni zilizowekwa.
✍@imjenalpha
Mhariri|@claud_jm
#AzamTVUpdates