Rais Ruto: Mwanasheria Mkuu aliyefutwa kazi alichelewesha mfuko wa wakfu wa Waislamu

Rais William Ruto wa Kenya amemkosoa hadharini aliyekuwa Mwanasheria Mkuu Justin Muturi, akitaja kipindi chake cha uongozi kuwa “kisichofaa” katika kushughulikia masuala muhimu ya kisheria, ikiwa ni pamoja na kuanzishwa kwa Mfuko wa Wakfu wa Kiislamu. Kwa muda mrefu uanzishwaji wa mfuko huo umekuwa kilio cha Waislamu wa Kenya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *