Rais Pezeshkian: Tunaijenga Iran kwa kutegemea nguvu za ndani na kutoa majibu dhidi ya vikwazo

Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza umuhimu wa nguvu ya ndani na mshikamano wa kitaifa na kubainisha kwamba, licha ya vikwazo, tunaijenga Iran kwa kutegemea uwezo na nguvu za ndani.