Rais Pezeshkian: Iran, Russia ziko imara katika uhusiano ‘nyeti wa kimkakati’

Rais Masoud Pezeshkian anasema Iran na Russia zimesimama kidete katika uhusiano “nyeti, muhimu na wa kimkakati” wa pande zote.