Rais Pezeshkian: Iran iko tayari kufanya mazungumzo, lakini si “kwa gharama yoyote”

Rais Masoud Pezeshkian amesema Iran imeshatangaza mara kadhaa kwamba iko tayari kufanya mazungumzo lakini haitafanya mazungumzo “kwa gharama yoyote ile”.