Rais Pezeshkian: Iran haiko vitani na nchi yoyote

Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia na kusisitiza kwa kusema: “Nina imani kwamba kama nchi za Kiislamu zifanya kazi kwa pamoja, zinaweza kuleta usalama na ustawi bora katika eneo hili.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *