Rais Pezeshkian atembelea mafanikio mapya ya anga na ulinzi ya Wizara ya Ulinzi

Rais Masoud Pezeskhian mapema leo ametembelea maonyesho ya mafanikio ya Wizara ya Ulinzi. Ziara hii imefanyika leo Jumapili katika Shirika la Anga za Mbali la Iran katika kuadhimisha Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Anga za Mbali.