Raia wa China jela kwa uchimbaji madini kinyume cha sheria, utakatishaji fedha DRC

Raia watatu wa China wamehukumiwa kifungo cha miaka saba jela kwa uchimbaji haramu wa madini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.