Radiamali ya Hamas kufuatia kuuliwa shahidi “Abdel-Latif al-Qanoua” katika hujuma ya Israel

Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imeashiria katika taarifa yake kuhusu kuuawa shahidi Abdel-Latif al-Qanoua Msemaji wa harakati hiyo katika shambulio la utawala wa Kizayuni na kutangaza kuwa: “Kuwalenga kwa masambulizi viongozi wa harakati ya Hamas na wasemaji wake kamwe hakuwezi kuvunja irada yetu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *