Qur’ani ndio sababu ya istiqama ya watu wa Gaza; Ujumbe mpya wa ukurasa wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu

Akaunti ya khamenei.ir katika mtandao wa kijamii wa X imechapisha ujumbe kwa lugha kadhaa za Ulaya kwa mnasaba wa kuadhimisha mwaka wa kumi wa barua ya Imam Ali Khamenei kwa vijana wa Ulaya na Amerika Kaskazini.