Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amezungumzia umuhimu wa Umoja wa Mabunge ya Kiislamu kwa ajili ya kustawisha uhusiano kati ya nchi za Kiislamu na kusema: Kushiriki nchi 38 za Kiislamu katika mkutano wa 19 wa Mabunge ya Kiislamu ni fursa ya kuendeleza uhusiano kati ya nchi hizo.
Related Posts
Afrika Kusini yaiambia ICJ: Gaza imekuwa Jahannamu, Israel lazima iwajibishwe
Ujumbe wa Afrika Kusini umeiambia Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kwamba Ukanda wa Gaza umekuwa Jahannamu kwa Wapalestina na…
Ujumbe wa Afrika Kusini umeiambia Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kwamba Ukanda wa Gaza umekuwa Jahannamu kwa Wapalestina na…
Askari magereza mkubwa zaidi duniani yuko wapi? Nini kinafanyika huko Dublin, California?
Takwimu zinaonyesha kuwa Marekani ina wafungwa wengi zaidi duniani. Post Views: 19
Takwimu zinaonyesha kuwa Marekani ina wafungwa wengi zaidi duniani. Post Views: 19
Wananchi wa Morocco wafanya maandamano 105 kuiunga mkono Gaza
Televisheni ya al Jazeera yenye makao yake nchini Qatar imetangaza kuwa wananchi wa Morocco wamefanya maandamano 105 katika miji 58…
Televisheni ya al Jazeera yenye makao yake nchini Qatar imetangaza kuwa wananchi wa Morocco wamefanya maandamano 105 katika miji 58…