Qaarii wa kimataifa wa Iran asoma kisomo cha Qur’ani kwenye mikesha ya Lailatul-Qadr, China

Kwa ushirikiano wa Ubalozi mdogo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mji wa Guangzhou na Ofisi ya Mwambata wa Utamaduni katika mkuu Beijing, Adnan Momineen, msomaji mashuhuri wa kimataifa wa Qur’ani Tukufu kutoka Iran ameshiriki na kusoma Qur’ani katika ibada za mikesha ya Lailatul-Qadr mjini Guangzhou.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *