Putin: Tunatumai hakulazimika kutumia silaha za nyuklia Ukraine

Rais wa Russia, Vladimir Putin amesema kufikia sasa, udharura wa kutumia silaha za nyuklia nchini Ukraine haujajitokeza, na kwamba anatumai hautatokea.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *