Putin hatahudhuria mazungumzo ya amani ya ana kwa ana Uturuki

Zelensky atakuwa katika mji mkuu wa Uturuki, Ankara, leo Alhamisi kukutana na Rais Recep Tayyip Erdogan, ambapo alisema angekutana na Putin kama rais huyo wa Urusi angekubali.

​  BBC News Swahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *