Putin aweka masharti ya kusitisha mapigano Ukraine

Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema kuwa anakubaliana na wazo la kusitisha mapigano nchini Ukraine, lakini “maswali” yanabakia kuhusu asili ya mapatano huku akiweka masharti kadhaa magumu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *