Putin awaandikisha wanaume 160,000 katika jeshi la Urusi

Rais Vladimir Putin amewaita wanaume 160,000 wenye umri wa miaka 18-30, idadi kubwa zaidi ya walioandikishwa jeshini nchini Urusi tangu 2011.