Putin atoa wito wa ‘mazungumzo ya moja kwa moja’ na Ukraine

Rais wa Urusi Vladimir Putin ameialika Ukraine kushiriki katika “mazungumzo ya moja kwa moja” tarehe 15 Mei, saa chache baada ya viongozi wa Ulaya kuitaka Moscow kukubali kusitishwa kwa mapigano kwa siku 30.

​  BBC News Swahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *