Putin akataa wito wa Trump wa usitishaji kamili wa vita Ukraine

Rais Vladimir Putin amekataa usitishaji vita wa mara moja na kamili nchini Ukraine, akikubali tu kusitisha mashambulizi kwenye miundombinu ya nishati, kufuatia mazungumzo yake na Rais wa Marekani Donald Trump.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *