Profesa Janabi ashinda kwa kishindo WHO

Mwakilishi wa Tanzania katika nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Profesa Mohammed Janabi ameshinda kwa kishindo nafasi hiyo.

Profesa Janabi ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, ametetea nafasi hiyo ambayo ilikuwa ikishikiliwa na Tanzania kabla ya kifo cha Dk Faustine Ndugulile. Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia Mwananchi na mitandao yake ya kijamii.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *