Polisi wa Morocco wamekamata karibu tani 10 za bangi katika eneo la kusini la nchi hiyo

Shirika rasmi la habari la Morocco MAP limeripoti kuwa, polisi wa nchi hiyoi wamekamata karibu tani 10 za bangi katika eneo la Marrakech-Safi la kusini mwa nchi hiyo.